Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Familia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Kadi ya Mchango Wa Send-Off
Familia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa binti yao mpendwa ESTHER E.DAMSON
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa mwishoni mwa mwezi wa sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango
wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Similar cards
Inspirations
Time: 7:00pmVenue : C-304 Onella Phase 2 Society, Patil Nagar, Sus, PuneOn Sunday , 28 January 2021Venue : Navkar ApartmentI Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of HaldiKumkum ceremonyVenue : building no 9,216 ,sonterra
Statistics Created today: 40 Created yesterday: 106 Created 7 days: 722 Created 30 days: 3061 All ecards: 311337
Copyright by CreateGreetingCards.eu