A KALISTI SHIRIMA anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2024)
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SEND-OFF
Familia ya KALISTI MAKALA Shirima wa Rombo Olele inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa GEMA KALISTI SHIRIMA anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 15/08/2024
Kwa Mawasiliano
0716633345 WITNESS SWAI
0752286871 KONSOLATA MAKALA
GEMA KALISTI SHIRIMA.
Statistics
Created today: 10
Created yesterday: 713
Created 7 days: 1613
Created 30 days: 3493
All ecards: 328637
Copyright by CreateGreetingCards.eu