Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

A kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Mch

Ads
A kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Mch
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Lubuga Bulugu wa Kijiji cha Silmila, kata ya Butinzya, wilaya ya Bukombe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Mch

…………………………………………………………………………………………
kuwa vijana wao wapendwa Bulugu Lubuga
na Vumilia Khamis Lukubanija wanatarajia kufanya sherehe ya ndoa tarehe 11/11/2023 nyumbani kwa Mzee Lubuga Bulugu.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Michango inapokelewa kupitia
0753341403 (Bulugu Lubuga) au
0783523643 (Bulugu Lubuga)


Mawasiliano : 0783523643 - Bulugu Lubuga
Similar cards
Inspirations
सस्नेह निमंत्रणOn Saunday, 04 Feb 2024On Sunday , 4 February 2024Venue : Venue : D 604 Sukur Enclave Anand Nagar G B Road ThaneVenue : 162, cityview centreway apartments
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 13 Created 7 days: 84 Created 30 days: 327 All ecards: 359416
Copyright by CreateGreetingCards.eu