Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Akida Mbaruku

Akida Mbaruku
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Akida Mbaruku
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
Gauri KandalgaonkarVenue :Adreno tower 41/503Kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/05/2023Smt Kumud Agarwal and Shri Chandra Mohan AgarwalAarambh Sri Akhand Path Sahib at 8347 Simi CT, Stockton, CA 95212 at 10.a.m.on 21st April 2022You are nvited for makar sankranti haldi kumkum
Statistics Created today: 26 Created yesterday: 86 Created 7 days: 648 Created 30 days: 3645 All ecards: 309653
Copyright by CreateGreetingCards.eu