Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Albert Muro

Ads
Albert Muro
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Albert Muro
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/05/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Wednesday, 24 February 2024Familia ya Keneth Meshack Nghwali wa Machimbo Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaVenue : 803 B wingBornahan Ceremony & Haldi KunkuAs-salam-u-alaikum wa rahmatullahi wa barakat- huVaramahalakshmi Pooja
Statistics Created today: 20 Created yesterday: 39 Created 7 days: 205 Created 30 days: 1781 All ecards: 356844
Copyright by CreateGreetingCards.eu