Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

AMANI BAHEBURA

Ads
AMANI BAHEBURA
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi
AMANI BAHEBURA
wa Mbweni Teta, Dar es salaam
na
SALEHE KILUWA
wa Lushoto, Tanga
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Prof./ Dk./ Mhe./ Bwana na Bibi/ Bi.

.............................................
kwamba vijana wao wapendwa
Isaka Amani & Sarah Kiluwa
Wanatarajia kufunga ndoa
Mwezi wa Nane tarehe 17/08/2024.
Ukiwa ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii, unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha mchango wako kabla ya
tarehe 31/07/2024.

DOUBLE:- 100,000/=
SINGLE:- 70,000/=

Namba ya Kuchangia:-
Sarah Kiluwa - 0621 402497

Mungu Mwenyezi akubariki.
Similar cards
Inspirations
We cordially invite you to engagement party. Please be there to shower your blessings on the newly eMay today bring you genuine love and abundant blessings that shower upon you today and alwaysIA,ME HE SENTIDO AFORTUNADA DE TENERTE EN MI VIDA, ESPERO QUE TAMBIÉN SIENTAS IGUAL Y SIGAMOS COMPADa ti kažem koliko miGracias por estar a mi lado aún con mis defectosPozdrawiam
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 212 Created 7 days: 1701 Created 30 days: 3650 All ecards: 328839
Copyright by CreateGreetingCards.eu