Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa (sendoff)

Ads
Anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa (sendoff)
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango wa Send Off
" Lolote mfanyalo,lifanyeni kwa Moyo kama kwa Bwana,
wala si kwa wanadamu "(Wakolosai 3;23)
Familia ya Bw &Bi CHARLES ABSALOOM ONING'O
wa Kimandolu_Arusha
Wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Dct/Prof/Bw.& Bi/Mwl/Mch/Bi/Bw
......................................
kuwa binti yao mpendwa
Miriam CHarles
Anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa (sendoff)
mwezi october 2025,hivyo ukiwa kama ndugu,Jamaa,rafiki wa karibu wa familia hii.Tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu na ya Baraka.
Tafadhari wasilisha mchango wako kwa alie kupa kadi hii,kabla ya tarehe 15/09/2025
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wako

+255 754 761 836-Florah
+255 755 988 639-Lilian
+255 689 117 168-elizabeth
Similar cards
Inspirations
Y BavaTwój pierwszy32400 Ayer Tawar PerakOn Jan 30th, 2022In the name of God, the Most Gracious,   the MostOn SUNDAY, November 28th 2021
Statistics Created today: 31 Created yesterday: 70 Created 7 days: 367 Created 30 days: 1473 All ecards: 352101
Copyright by CreateGreetingCards.eu