Anatarajia kufunga ndoa 28/06/2025
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Maximilian Lyapembile inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Josephat Lyapembile
anatarajia kufunga ndoa 28/06/2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Single 50,000/-
Double 100,000/-
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 08/06/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mawasiliano : Maximilian Lyapembile 0763729877
Josephat Lyapembile 0743745789
Mr.Karata 0762716511
Statistics
Created today: 65
Created yesterday: 70
Created 7 days: 470
Created 30 days: 2232
All ecards: 337614
Copyright by CreateGreetingCards.eu