Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi

Ads
Anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mr & Mrs Makande wa Mbagala, Dar es Salaam inayo Furaha kukujulisha
kuwa Kijana wao mpendwa
Hamza Makande
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mrs Makande 0716599525
0783599525
Similar cards
Inspirations
On 22 January 2026On Saturday,28th January 2023"Hello everyone! WeFamilia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaShri Sadguru Maharaj Ji Ka satsangSankranti Haldi Kumkum and Sarthak
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 5 Created 7 days: 37 Created 30 days: 323 All ecards: 360775
Copyright by CreateGreetingCards.eu