Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili

Ads
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Yonael Msuya inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki

Mawasiliano : Yonael mlembo 0758996967/0712492897
Similar cards
Inspirations
ShivanshVenue : Riverdale H,Flat no 106VivaanVenue : A4-1304, Akshar Elementa, Tathawade, Pimpari ChinchwadFrom - Asmita Bhaskar AgarwadekarVenue : E-703,Ravinanda Skylights
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 59 Created 7 days: 428 Created 30 days: 2186 All ecards: 337289
Copyright by CreateGreetingCards.eu