Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa tarehe 26/08/2023 Mahenge mkoani Morogoro

Ads
Anatarajia kufunga ndoa tarehe 26/08/2023 Mahenge mkoani Morogoro
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi Gidio Shinyambala wa Mbezi Makabe wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Agapit Gidio Shinyambala
anatarajia kufunga ndoa tarehe 26/08/2023 Mahenge mkoani Morogoro...
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/08/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.

Mawasiliano :
Rogers Shinyambala 0699520017/0769722665
Similar cards
Inspirations
Villa # 4498, Achievers BuildersTime : 10 : 22 AM Onwards4nd may, 2023 (Thursday) at 6pm eveningNow I am BecomeBacaan Yaasin, Tahlil ArwahLATE MRS & MR ALHAJ M A MAJEED
Statistics Created today: 33 Created yesterday: 58 Created 7 days: 342 Created 30 days: 1494 All ecards: 352252
Copyright by CreateGreetingCards.eu