Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Andrew Mandela

Ads
Andrew Mandela
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Andrew Mandela
............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunt 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
1. WELCOMEFamilia ya Bw & Bi Albinus Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaहळदी कुंकूSmt Saroj Devi & Sri Bhagawan Dass Agrarwal cordially invite youTime: 3Pm To 7pmVaibhav Laxmi Udyapan Pooja
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 8 Created 7 days: 62 Created 30 days: 270 All ecards: 361031
Copyright by CreateGreetingCards.eu