Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.ANGEL MAREGESI
kuwa kijana wao mpendwa DAVID SILO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa FEBRUARY 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa 40,000d/30,0000s, ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU AKUBARIKI:
Mawasiliano : 0620832081
AMON BUCHAFWE
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 70
Created 7 days: 366
Created 30 days: 1472
All ecards: 352100
Copyright by CreateGreetingCards.eu