Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh

Ads
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh
Create a similar
Send a card
The content of the card
KADI YA MWALIKO
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh
Familia ya HUSSEIN ABDALLAH wa Kiteto- Manyara wanayo
Furaha kubwa kukualika/kuwaalika
Bwn&Bi/Bwn/Bi/Shekh/Mwl/Mh/Dkt/Mch............................................................................ katika harusi ya Binti yao
Mpendwa
MARIAM HUSSEIN anaetarajia kufunga ndoa na SHABAN HASSAN itakayofanyika jumamosi ya tarehe 19/10/2024
Kiteto- Manyara.
Kama ndugu, jamaa au rafiki wa familia hii unaomba kufika kwaajili ya
kufanikisha shughuli hii kwani uwepo wako ni faraja na upendo mkubwa kwetu
Tunatanguliza shukran za dhati
Mola akulipeni kheri
Nyote mnakaribishwa
Wabillahi taufiq
MAWASILIANO:
0623747871
Similar cards
Inspirations
On Fridy, 4th October 2024ItPurnima Vrat Udyapan and panjap of our grandsonNirvikaVenue : H - 303, Venkatesh GraffitiFrom - Geeta Verma and family
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 72 Created 7 days: 417 Created 30 days: 2142 All ecards: 336744
Copyright by CreateGreetingCards.eu