Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
Kadi ya Mchango wa Send-Off
Familia ya Bw&Bi Mohamedi mtumbi wa Genge muheza wanatarajia kufanya sherehe ya kumuaga (Send off) binti yao mpendwa
ZAINAB MTUMBI itakayofanyikia mwishoni mwa mwezi wa nane.
Hivyo kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu,tunapenda kuomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hiyo.
Mwisho wa kutoa mchango ni tarehe 30/07/2024
Single:30,000/=
Double:50,000/=
Mawasiliano:0713 168272
0719 440359
💸💷💸💸💷💶💸💶💶💸💶💶💸💶
Statistics
Created today: 53
Created yesterday: 78
Created 7 days: 577
Created 30 days: 2966
All ecards: 355765
Copyright by CreateGreetingCards.eu