Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Bwire Samson

Bwire Samson
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Bwire Samson
............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunt 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
Sharvil & KrishvaOn Saturday, 15January 2022On Wednesday, 26 JanuaryBhog of path on 24th January 2022 at 10.00 a.mVenue : Ekdant Chs,21/B,603,New MhadaVenue : 602 hi-tech society sector-12
Statistics Created today: 65 Created yesterday: 108 Created 7 days: 724 Created 30 days: 3366 All ecards: 310545
Copyright by CreateGreetingCards.eu