Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

DR.KENNEDY

Ads
DR.KENNEDY
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.Gelard Elias Mdushi wa Kisewe/Temeke/Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.......DR.KENNEDY..........
kuwa kijana wao mpendwa Mdushi Gelard
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 100,000 na single kwa shilingi elfu 50,000 wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano:Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
15 & 16 Nov 2021Venue : Flat no.-1001, E wing, Cyprus society, PunawaleFamilia ya BibiMchango Wa Sikukuu ya wanaume (CMF) kanisa la T.A.G AntiokiaKuwa kijana wao mpendwa ChristinaWe cordially invite you on the occasion of Makar sankranti Haldi Kumkum Ceremony
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 13 Created 7 days: 92 Created 30 days: 446 All ecards: 359094
Copyright by CreateGreetingCards.eu