Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

DR.PETER

Ads
DR.PETER
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.Gelard Elias Mdushi wa Kisewe/Temeke/Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............DR.PETER.............
kuwa kijana wao mpendwa Mdushi Gelard
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 100,000 na single kwa shilingi elfu 50,000 wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano:Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
Venue :D-702, Darshanam central parkOn Tuesday, 24th FebI warmly invite you to join us for the Haldi Kumkum & Bornhan (Showering sweets on yong ones) ceremoHerndon VA 20171On Friday, 20January 2023Familia ya Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na familia ya Bw & B Catherine selema wa
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 19 Created 7 days: 98 Created 30 days: 731 All ecards: 357552
Copyright by CreateGreetingCards.eu