Etarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Bwana na Bi Innocent Mbossa wa Dodoma Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Florian Mbossa anayetarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : 0738261409 Baba
0738261405 Mama
Statistics
Created today: 55
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1756
Created 30 days: 3705
All ecards: 328894
Copyright by CreateGreetingCards.eu