Familia ya Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na familia ya Bw & B Catherine selema wa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha Usiku wa zawadi
Familia ya Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na familia ya Bw & B Catherine selema wa yombo vituka tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao maandalizi ya usiku wa wazadi kwa binti yao mpendwa Daula Komba
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika jambo bar-jet lumo,, tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa
Mawasiliano : Daula Komba
Voda-0763-325-453
Tigo-0676-325-453
Statistics
Created today: 75
Created yesterday: 74
Created 7 days: 449
Created 30 days: 1594
All ecards: 352439
Copyright by CreateGreetingCards.eu