Familia ya Awadhi Abdi wa njoro sokoni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Awadhi Abdi wa njoro sokoni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpedwa Hassany Awadhi Abdallah
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano :Abbou irfaan 0624902540
OR 0678902540
Statistics
Created today: 35
Created yesterday: 68
Created 7 days: 944
Created 30 days: 4123
All ecards: 329999
Copyright by CreateGreetingCards.eu