Familia ya Bernard Mgaya (suke suke) wa Kambarage Njombe inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Bernard Mgaya (suke suke) wa Kambarage Njombe inayo furaha kukutaarifu
Bw.&Bibi/Mhe/Prof/Dr/Mch./Bi.
.............................................
kuwa inakuomba kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Dionis B. Mgaya anayetarajia kufunga ndoa tarehe 07/09/2024
Kikao cha ufunguzi wa kamati kitafanyika tarehe 26/05/2024 siku ya jumapili saa 8 kamili mchana katika ukumbi wa Johnson
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano :0765914881,
0763519247,
0766514958.
Statistics
Created today: 73
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1774
Created 30 days: 3723
All ecards: 328912
Copyright by CreateGreetingCards.eu