Familia ya Bernard Mgaya wa Kambarage Njombe inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Bernard Mgaya wa Kambarage Njombe inayo furaha kukutaarifu
Bw.&Bibi/Mhe/Prof/Dr/Mch./Bi.
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Dioniss B. Mgaya anayetarajia kufunga ndoa tarehe 07/09/2024
Kikao cha ufunguzi wa kamati kitafanyika tarehe 26/05/2024 siku ya jumapili saa 8 kamili mchana katika ukumbi wa Johnson Hall
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Bernard Mgaya 0765914881
Anunciata Mwageni 0763519247
Statistics
Created today: 116
Created yesterday: 295
Created 7 days: 940
Created 30 days: 2628
All ecards: 354155
Copyright by CreateGreetingCards.eu