Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bibi
PERIS ALANGO
wa Rorya, Mara
na
GODWIN KILEO
wa Moshi, Kilimanjaro
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Prof./ Dk./ Mhe./ Bwana na Bibi/ Bi.
.............................................
kwamba vijana wao wapendwa
Pascal Alango & Queen Kileo
Wanatarajia kufunga ndoa
Mwezi wa kwanza tarehe 11/01/2024.
Ukiwa ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii, unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha mchango wako kabla ya
tarehe 25/12/2024.
DOUBLE:- 100,000/= SINGLE:- 70,000/=
Namba ya Kuchangia:-
Jeremiah Alango - 0621 402497
Sarah Kileo - 0784706428
Mungu Mwenyezi awabariki.
Statistics
Created today: 60
Created yesterday: 83
Created 7 days: 489
Created 30 days: 2230
All ecards: 337474
Copyright by CreateGreetingCards.eu