Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bibi Anna Stanslaus Lutasisa wa Nyamanoro Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba

Ads
Familia ya Bibi Anna Stanslaus Lutasisa wa Nyamanoro Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Bibi Anna Stanslaus Lutasisa wa Nyamanoro Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/ kuwaomba
Bw&Bi/Bi/Bw/mhe/Raf/Prof/Dr/Mwl/Mch

Mchango kwa ajili ya kufanikisha sherehe ya kijana wao mpendwa Bwasi Paul Bwasi itakayofanyika mwishoni wa mwezi July 2025. Hivyo kwa kutambua umuhimu wako ukiwa ndugu au rafiki wa karibu na familia yetu unaombwa mchango wako ili kuweza kufanikisha sherehe hiyo .

Mchango wako/wenu utumwe kea kupitia

Mpesa 0768008006. Anna Stanslaus LUtasisa
Kabla ya tarehe 25/07/2025
Sisi kama familia tunatanguliza shukurani zetu za dhati hatimaye kufanikisha jambo letu.

Mawasiliano:

0768008006 Anna Stanslaus LUtasisa

0782008006 Anna Stanslaus LUtasisa
Similar cards
Inspirations
(Son of Smt. & Sh. Karam chand sharma)Congratulation Mrs. & Mr. SharmaReception 19 / 08 / 2021Chandan HG & Radha KKNeelu Singh & Vimal SinghNeelu
Statistics Created today: 12 Created yesterday: 62 Created 7 days: 671 Created 30 days: 2597 All ecards: 354414
Copyright by CreateGreetingCards.eu