Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha Usiku wa Zawadi
Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha usiku wa zawadi kwa binti yao mpendwa Daula Komba
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika katika ukumbi wa Jambo Bar-jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio sherehe ya binti yetu mpendwa
Mawasiliano : Daula Komba
Voda-0763325453
Yas-0676325453
Statistics
Created today: 64
Created yesterday: 81
Created 7 days: 404
Created 30 days: 1555
All ecards: 352354
Copyright by CreateGreetingCards.eu