Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi Catherine Selem

Ads
Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi Catherine Selem
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha Usiku wa zawadi
Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi Catherine Selema tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha Usiku wa zawadi kwa binti yao mpendwa Daula Komba
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Jambo Bar-jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya sherehe yetu mpendwa

Mawasiliano : Daula Komba
Yas-0676325453
Voda-0763325453
Similar cards
Inspirations
We cordially invite you for RidhaanLetShrifal Havan - 04:30 PM OnwardsOn Friday, 21st January 2021Venue : Bldg 1541, CBD-Ruwi, MuscatEskütételetek alkalmából kívánom,hogy örömet leleljetek a tanulásban és épüljetek,gazdag
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 25 Created 7 days: 120 Created 30 days: 379 All ecards: 360535
Copyright by CreateGreetingCards.eu