Familia ya Bw & Bi George Selengia
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
Familia ya Bw & Bi George Selengia
wa Rombo Mkuu wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr.
…………………………………………………………
Mchango wa Harusi ya mtoto wao mpendwa
Ian George Selengia
anayetarajiwa kufungwa mwezi wa tatu Mkoani Kilimanjaro, ukiwa ndugu wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa chochote ulichobarikiwa ili kufanikisha shughuli hii.
Tunaomba mchango wako utufikie
kabla ya 9/08/2024.
Tuma mchango wako kwa
Airtel Money – 0695376516 Ian George Selengia
NMB Ac No 43510028537
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 25
Created 7 days: 134
Created 30 days: 500
All ecards: 358985
Copyright by CreateGreetingCards.eu