Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. & Bi. Idrisa Mbuguni wa Mtoni Aziz Ali inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bw. & Bi. Idrisa Mbuguni wa Mtoni Aziz Ali inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw. & Bi. Idrisa Mbuguni wa Mtoni Aziz Ali inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ibrahim Idrisa Mbuguni
anatarajia kufunga ndoa katikati mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 31/08/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mariam 0716062939
Ibrahim 0758200735
Similar cards
Inspirations
Invitation For Female Teaching & Nonteaching StaffSai Sandhya evening Aarthi & bajansManidweepa varnana poojaVenue : Grenimeour-47,107, ReykjavikCaranzalemVenue : C- 1302 ANP Royal Grande, Wakad, Pune
Statistics Created today: 13 Created yesterday: 70 Created 7 days: 349 Created 30 days: 1455 All ecards: 352083
Copyright by CreateGreetingCards.eu