Familia ya Bw &Bi Maduhu Njemu wa Igunga Tabora, wanayo furaha kubwa kukutaarifu/Kuwataarifu
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw &Bi Maduhu Njemu wa Igunga Tabora, wanayo furaha kubwa kukutaarifu/Kuwataarifu
Mhe/Prof/Mr&Mrs/Dr/Mwl/Shehe
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Masanja Maduhu
anatarajia kufunga ndoa
na Sara Japhet mnamo tarehe 07/07/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 28/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Luka 6:38; "Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa kipimo cha kujaa na kushindiliwa na Kusukwasukwa.
Mawasiliano : Masanja Maduhu: 0629097723; 0762427241
Statistics
Created today: 315
Created yesterday: 138
Created 7 days: 1113
Created 30 days: 2869
All ecards: 327853
Copyright by CreateGreetingCards.eu