W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya bw&bib Mohamed mtumbi wa Genge muheza wanayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ZAINAB MTUMBI anatarajia kuagwa(send off) mwishoni mwa mwezi wa nane(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba mchango wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli hii.
Single 30,000/=
Double 50,000/=
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 30/07/2024