Familia ya Bw & Bibi CALVIN MREMA wa Mwisho wa lami(Yombo Vituka) inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Bw & Bibi CALVIN MREMA wa Mwisho wa lami(Yombo Vituka) inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha Harusi ya kijana wao mpendwa SAMWEL MREMA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Ukumbi wa jambo uliopo lumo tarehe 13/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki.
Kufika kwako ndio mafanikio ya Harusi ya kijana wetu mpendwa
Mawasiliano : Calvin Mrema 0713-270-802
Samwel Mrema 077-844-3065
Statistics
Created today: 50
Created yesterday: 81
Created 7 days: 390
Created 30 days: 1541
All ecards: 352340
Copyright by CreateGreetingCards.eu