Familia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA KUBARIKI NDOA
Familia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa ANDREW EZEKIELI LEONSI
anatarajia kubariki ndoa tarehe 27/o4/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
"Ndipo hao watu wakafurahi kwasababu wametoa kwa hiyari yao wenyewe" (1Nyakati 29:9)
MWALIKO WA KUBARIKI NDOA
Familia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukukaribisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye sherehe ya kubariki Ndoa ya Vijana wao ANDREW EZEKIELI LEONSI & GRACE ALOYCE PAUL
itakayofanyika tarehe 27/04/2024 MBULU Manayara.
Tafrija hyo itaanza muda wa saa 4 asubuhi hadi saa 12 Jioni.
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" (Mwanzo 2:24).
Mawasiliano : ANDREW LEONSI
0684484743
Statistics
Created today: 15
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1623
Created 30 days: 3678
All ecards: 328927
Copyright by CreateGreetingCards.eu