Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw & Bibi Twaha

Ads
Familia ya Bw & Bibi Twaha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa Kikao cha Harusi

Familia ya Bw & Bibi Twaha
wa Omurushaka, Karagwe
wanayofuraha kukwakila/kuwaalika

.............................
kwenye kikao cha kwanza cha maandalizi
ya harusi ya kijana wao mpendwa

TWASINI TWAHA (TATIE)

jumamosi tarehe 12/04/2025 katika
ukumbi wa "triple p" karibu na
sokoni kuanzia saa 10:00 jioni.

*kufika kwako ndio mafanikio ya kikao*

Mawasiliano :mama fauzia 0694 394 931
mama rakh 0764 882 554
mama charlen 0746 490 926
mama nuri 0750 267 439
Similar cards
Inspirations
Massi Ji and Masar jiMy liefste DuifTUESDAY,15 March 2022Mīlu,vēlos,skumstu,trūkstHivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na malOn 25th Jan 2019 friday
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 22 Created 7 days: 114 Created 30 days: 770 All ecards: 357486
Copyright by CreateGreetingCards.eu