Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw&Bibi William Kombi wa Sengerema inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bw&Bibi William Kombi wa Sengerema inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw&Bibi William Kombi wa Sengerema inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa binti wao mpendwa Nancy Wlliam Kombi
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/08/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mwenyezi Mungu akulipe kheri

Mawasiliano : Stella Kombi 0713387644
Similar cards
Inspirations
From - Gayatri JungadeEkadashi vrat udyapaMrs Nirmal and Subhash Chand GoyalWe Would Like To Invite You To Our Home OnOn Thursday, 23 January 2024Sania
Statistics Created today: 12 Created yesterday: 55 Created 7 days: 420 Created 30 days: 2194 All ecards: 337157
Copyright by CreateGreetingCards.eu