Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. EMMANUEL MAKUNGU wa KOLANDOTO SHINYANGA inayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
Familia ya Bw. EMMANUEL MAKUNGU wa KOLANDOTO SHINYANGA inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Bw. EMMANUEL MAKUNGU wa KOLANDOTO SHINYANGA inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha Kamati kuu cha Harusi ya Ndugu zao wapendwa Kulwa na Dotto
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa mama akelina tarehe 16/05/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano : Mama akelina 078-859-8219
Mama esta 078-712-7596
Similar cards
Inspirations
Familia ya Bw & Bi Albinus Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaVivaanVenue : Club House, Bravuria SocietyPC REHEMAVenue : G-108, 38 park majestiquePurnima Udyapan
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 11 Created 7 days: 61 Created 30 days: 306 All ecards: 359953
Copyright by CreateGreetingCards.eu