Familia ya Bw.Godfrey Makungu wa katunguru/sengerema/mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa SEND OFF.
Familia ya Bw.Godfrey Makungu wa katunguru/sengerema/mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa wanatarajia kufanya sherehe (sendoff party) kumuaga binti yao mpendwa Salome Godfrey Makungu mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.
Mawasiliano :
Godfrey makungu 0787605324
salome makungu 0715054631
Statistics
Created today: 131
Created yesterday: 95
Created 7 days: 872
Created 30 days: 2608
All ecards: 327531
Copyright by CreateGreetingCards.eu