Familia ya Bw. John N. Joel wa Ipagala Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Bw. John N. Joel wa Ipagala Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ian John Nchwali
anatarajia kufunga ndoa tarehe 15 June 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akuzidishie pale utakapotoa.
Mawasiliano : John N Joel 0754260831
Caritas Mushairizi 0754313481
Ian J. Nchwali 0769737357
Statistics
Created today: 39
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1626
Created 30 days: 3691
All ecards: 329025
Copyright by CreateGreetingCards.eu