Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. na Bi Alfredy Frederick Kaiza wa kitobo Kyazi bukoba wanayo furaha na heshima kubwa

Ads
Familia ya Bw. na Bi Alfredy Frederick Kaiza wa kitobo Kyazi bukoba wanayo furaha na heshima kubwa
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA SEND-OFF
Familia ya Bw. na Bi Alfredy Frederick Kaiza wa kitobo Kyazi bukoba wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/ kuwaomba
Bw&Bi/Bi/Bw/mhe/Raf/Prof/Dr/Mwl/Mch


Mchango kwa ajili ya kufanikisha sherehe ya binti yao mpendwa Geraidina Alfredy Kaiza anayetarajiwa kugawa mwanzoni mwa mwezi
feb 2023. Hivyo kwa kutambua umuhimu wako ukiwa ndugu au rafiki wa karibu na familia yetu unaombwa mchango wako ili kuweza kufanikisha sherehe hiyo .
Mchango wako/wenu utumwe kea kupitia
Tigopesa 0653573336 Geraidina Frederick
Mpesa 0757107123 Geraidina Frederick
Kabla ya tarehe 31/v01/2023
Sisi kama familia tunatanguliza shukurani zetu za hatimae.
Mawasiliano:
0754387732 Magreth Kaiza
0757107123 Geraidina Kaiza
0653274852 Alfredina Kaiza
Similar cards
Inspirations
On Sunday, March 12 2023GOLD DHANA CEREMONY INVITATION|| GOL DHANA INVITATION ||On July 30th 2021Date: 22nd January 2018 (Monday,Basant Panchmi)I cordially invite you and your family to my Sister’s Wedding ceremony on December 16th, 2021 at 1
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 50 Created 7 days: 833 Created 30 days: 2563 All ecards: 354282
Copyright by CreateGreetingCards.eu