Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. na Bi Zakayo Ramadhan Mpinga wa Igawa Mbarali Mbeya wanayo furaha na heshima kubwa k

Ads
Familia ya Bw. na Bi Zakayo Ramadhan Mpinga wa Igawa Mbarali Mbeya wanayo furaha na heshima kubwa k
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA SEND-OFF
Familia ya Bw. na Bi Zakayo Ramadhan Mpinga wa Igawa Mbarali Mbeya wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/kuwaomba
Bw&Bi/Bi/Bw/mhe/Raf/Dr/Mwl/Mch
.......................................................................
Mchango kwa ajili ya kufanikisha sherehe ya binti yao mpendwa Kulwa Zakayo Mpinga anayetarajiwa kuagwa mwanzoni mwa mwezi Septemba 2026. Hivyo kwa kutambua umuhimu wako ukiwa ndugu au rafiki wa karibu na familia yetu unaombwa mchango wako ili kuweza kufanikisha sherehe hiyo .
Mchango wako/wenu utumwe kwa kupitia
M-PESA 0768093003 Kulwa Zakayo Mpinga
mwisho wa kukusanya michango ni 31/08/2026
Sisi kama familia tunatanguliza shukurani zetu za dhati.
Mawasiliano:
0768093003 Kulwa Zakayo Mpinga
0765847526 Rukia Zakayo Mpinga
Similar cards
Inspirations
I hold you in my heart, for we have shared together GodWe Cordialy invite you to attend theTime-6pm to 10pmIt is a journey that lasts till eternityNarayani MandapamSunday, 5th Feb, 2023       Time: 6:30 pm
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 16 Created 7 days: 57 Created 30 days: 284 All ecards: 360007
Copyright by CreateGreetingCards.eu