Familia ya Bw na Bibi MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SEND OFF
Familia ya Bw na Bibi MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu
Wanayo furaha Kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Mhe/Dkt/Bw. & Bibi/Prof/Mch
..................................
Kuwa binti yao Mpendwa
DORCAS MESHACK NDAGILE
Anatarajia kuagwa (Send_Off) tarehe 12-6-2025
Hivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha Sherehe hii muhimu
Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6 - 6-2025
Kwa Mawasiliano zaidi
0683496266 Dorcas Meshack
Statistics
Created today: 34
Created yesterday: 81
Created 7 days: 464
Created 30 days: 2205
All ecards: 337260
Copyright by CreateGreetingCards.eu