Familia ya Bw WILLIAM PETRO NTWALO wa Ibadakuli inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw WILLIAM PETRO NTWALO wa Ibadakuli inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa VICTOR JOHN ONDURU
anatarajia kufunga ndoa na Bi SOPHIA A ONDURU mwanzoni mwa mwezi wa sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mama CESILIA
0767966408
Statistics
Created today: 13
Created yesterday: 72
Created 7 days: 422
Created 30 days: 4024
All ecards: 330318
Copyright by CreateGreetingCards.eu