Familia ya Bwana/Bibi Shabani Mrutu wa Soweto (Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendw
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SEND OFF
Familia ya Bwana/Bibi Shabani Mrutu wa Soweto (Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Julieth Sixtus Kayanga anatarajia kuagwa(Send Off) mwezi wa saba (20/07/2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwezi wa saba.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia
kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 15/07/2023
Kwa Mawasiliano
0693640505 Julieth S. Kayanda
0768404590 Peter B. Misamo
JULIETH SIXTUS KAYANDA.
Statistics
Created today: 6
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1614
Created 30 days: 3669
All ecards: 328918
Copyright by CreateGreetingCards.eu