Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa MANJALE IKUMBO MAGEMA
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa SABA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
KIWANGO: DOUBLE 50,000/=
SINGLE 30,000/=

MAWASILIANO
07533877928 / 0756278714
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Similar cards
Inspirations
Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulishaOn Wednesday, 28th September 2022On Friday, 17 NovemberOn Satarday, 27 January 2024We cordially invite you for bornhan of our kids and haldi kumkum On Wednesday , 17 January 2024From - Dipali Kalbhor, Priya Gore
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 7 Created 7 days: 53 Created 30 days: 261 All ecards: 360839
Copyright by CreateGreetingCards.eu