Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi
AMANI BAHEBURA
wa Mbweni Teta, Dar es salaam
na
SALEHE KILUWA
wa Lushoto, Tanga
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Prof./ Dk./ Mhe./ Bwana na Bibi/ Bi.
.............................................
kwamba vijana wao wapendwa
Isaka Amani & Sarah Kiluwa
Wanatarajia kufunga ndoa
Mwezi wa Nane tarehe 17/08/2024.
Ukiwa ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii, unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha mchango wako kabla ya
tarehe 31/07/2024.
DOUBLE:- 100,000/= SINGLE:- 70,000/=
Namba ya Kuchangia:-
Sarah Kiluwa - 0621 402497
Mungu Mwenyezi awabariki.
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1519
Created 30 days: 3641
All ecards: 329056
Copyright by CreateGreetingCards.eu