Familia ya Bwana na Bibi Edson Bashimbe, Kwa kushirikiana na familia ya Bwana na Bibi Jacob Mambo wa
Create a similar
Send a card
The content of the card
PRE WEDDING PARTY
Familia ya Bwana na Bibi Edson Bashimbe, Kwa kushirikiana na familia ya Bwana na Bibi Jacob Mambo wa kibaha Maili Moja. tunayo furaha kubwa sana
kukujulisha/kuwajulisha
Bwana/Bibi/Bi/Mr/ Mrs/Mwl/Pdr/Eng/Dr/Prof
————————————————
Kuwa tunatarajia kufanya sherehe ya Kumuaga (Send-off) binti yetu mpendwa.
Sis. Glory E. Dickson
Itakayofanyika tarehe 12/09/2024.
Wewe ukiwa kama ndugu, jamaa, na rafiki wa karibu na familia hii,
tunakuomba mchango wako wa hali na mali
ili kufanikisha sherehe hii.
Mwisho wa kuwasilisha michango ni tarehe 01/09/2024.
Unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia namba hizi.
0754966964 Jacob Mambo
0755471151 Martha Binene
0765547407 Glory E. Dickson
Tunathamini sana mchango wako kwani utatuwezesha kukamilisha sherehe ya kumuaga Binti yetu.
Mungu Akubariki Sana...
Statistics
Created today: 1
Created yesterday: 74
Created 7 days: 856
Created 30 days: 4080
All ecards: 330100
Copyright by CreateGreetingCards.eu