Familia ya Bwana na Bibi Shabani Mrutu wa Soweto (Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpe
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SEND OFF
Familia ya Bwana na Bibi Shabani Mrutu wa Soweto (Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Julieth Sixtus Kayanga anatarajia kuagwa(Send Off) mwezi wa saba (20/07/2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwezi wa saba.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 15/07/2023
Kwa Mawasiliano
0693640505 Julieth S. Kayanda
0768404590 Peter B. Misamo
JULIETH SIXTUS KAYANDA.
Statistics
Created today: 131
Created yesterday: 95
Created 7 days: 872
Created 30 days: 2608
All ecards: 327531
Copyright by CreateGreetingCards.eu