Familia ya Bwana Renatus Rwehabura wa Mgeninani-Kijichi inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Bwana Renatus Rwehabura wa Mgeninani-Kijichi inayo furaha kukutaarifu
Ndg/Mhe/Dr/Prof/Mwl/Mch
........................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Kalumuna Faustine anayetarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii.
Kikao Cha kwanza 22/06/2025
Eneo: ukumbi wa Mti wa njiani
Muda: kuanzia saa10:00 Jioni Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Renatus 0787541617
Aden 0612189498
Kalumuna 0628673522
Statistics
Created today: 19
Created yesterday: 81
Created 7 days: 359
Created 30 days: 1510
All ecards: 352309
Copyright by CreateGreetingCards.eu