Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Deus Pastory Mazura ya Mukasika Ukerewe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Deus Pastory Mazura ya Mukasika Ukerewe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Deus Pastory Mazura ya Mukasika Ukerewe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa John Deus Mazura
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi Juni 2023
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/06/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : John Mazura 0769629442
Similar cards
Inspirations
On Friday, 06 february 2026Venue :334 phase2bVenue : A-1206, Sentosa ParkVenue: D-603, K-Ville ,RavetOn Friday, 22 March 2024Time: 7.30 onwards
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 7 Created 7 days: 64 Created 30 days: 268 All ecards: 360088
Copyright by CreateGreetingCards.eu