Familia ya Dr.Pamela & Dr Felix Nandonde kwa niaba ya Bw&Bi Liana wa Kilombero inayo furaha kukualik
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha kwanza cha Send Off ya Monalisa Liana
Familia ya Dr.Pamela & Dr Felix Nandonde kwa niaba ya Bw&Bi Liana wa Kilombero inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Prof/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha kwanza cha kamati ya Send off ya binti yao mpendwa Monalisa John Liana
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Bwalo la Umwema, Jumapili, tarehe 17/08/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa
Mawasiliano : Mrs Pamela Liana Nandonde 0717 086187/0621083849,
Statistics
Created today: 62
Created yesterday: 58
Created 7 days: 371
Created 30 days: 1523
All ecards: 352281
Copyright by CreateGreetingCards.eu